YOUR MOST WELCOME

YOUR MOST WELCOME

VITI VYA CHUMA

Kwa mahitaji ya viti vya chuma kwa ajili ya mgahawa,nyumbani,ofisini tunatengeneza kwa bei rafiki kabisa.Viti vina muonekano wa kisasa vyenye kuvutia na kudumu muda mrefu.Viti tunatengeneza kuanzia kimoja nakuendelea kulingana na idadi utakayo hitaji.Pia unaweza kupendekeza muundo,urembo na nakshi zingine ili kukuridhisha mteja wetu.Vipo vya oda maalumu na vilivyo tayari.Popote utatumiwa kwa gharama zako za usafirishaji.Unapotoa oda kubwa tunakufanyia punguzo kubwa la bei.
Tupo Kangaye Round about Mwanza
Wasiliana nasi kwa simu no:
0766-362336
0789-426842
Fundi Khamis














NA ZINGINE KIBAO KARIBU
Jamboworkshop

Comments