YOUR MOST WELCOME

YOUR MOST WELCOME

STENDI ZA NGUO ZA CHUMA

Muonekano mpya wa chumba chako ama ofisi/duka lako ni pale unapoamua kuwa wakisasa zaidi.Maboresho ni pale unapoamua kutumia vifaa vya kisasa kabisa kwa ajili ya kupendezesha chumba na nguo zako kubaki mahali salama.Utumiapo vibebeo vya chuma vyenye muonekano mpya na wakisasa  kabisa basi utafanya eneo lako husika kuvutia kila mtazamaji.Tunatengeneza Standi za chuma kwa ajili ya kuwekea nguo na zikabaki salama pasi na kuvurugika kimpangilio.Tupo kukuhudumia kwa kukuundia standi kwa bei poa kabisa na mahali popote utatumiwa na kwa idadi uitakayo.Unapotoa oda kubwa tunakufanyia punguzo kubwa la bei.
Tupo Kangaye Round about Mwanza
Wasiliana nasi kwa simu no:
0766-362336
0789-426842
Fundi Khamis








NA ZINGINE KIBAO

Comments