YOUR MOST WELCOME

YOUR MOST WELCOME

MILANGO YA CHUMA

Hii ni kwa wajanja wote na wanaotaka kwenda na wakati.Tupo kuhakikisha kuifanya nyumba yako iwe ni yenye kuvutia kila mahali....Sasa tumeingia katika ujenzi wa nyumba yako ili kuifanya ipendeze zaidi na yenye kuvutia na ili iwe ya kisasa zaidi.Tunakutengenezea milango ya chuma ya kisasa yenye kurembesha nyumba yako na mali zako kuwa mahali salama.Milango inapatikana kwa urembo tofauti tofauti yenye kuvutia.Milango inadumu muda mrefu ikiwa katika ubora wake.Popote ulipo utatumiwa na tunatengeneza idadi yoyote na oda kubwa zinapokelewa.Unapotoa oda kubwa tunakufanyia punguzo kubwa la bei.
Tupo Kangaye Round about Mwanza
Wasiliana nasi kwa simu no:
0766-362336
0789-426842


Fundi Khamis




















Comments

Post a Comment