YOUR MOST WELCOME

YOUR MOST WELCOME

VITANDA VYA CHUMA

Kutana na mafundi waliobobea katika fani ya uundaji vifaa vya chuma.Kwa mahitaji ya vitanda vya kisasa kwaajili ya vyumba vyako vya kulala hima nyumbani,shuleni tupo tayari kukuhudumia.Vitanda vyenye urembo na nakshi zinazovutia vinapatikana kwa bei poa kabisa.Vipo vya ukubwa tofauti tofauti kulingana na mahitaji/matumizi yako.Tunawahudumia Wateja wa oda ndogo ndogo na oda kubwa walio popote Tanzania.Kazi zetu niya uhakika na tunakubalika karibu ujionee kazi zetu.Unapotoa oda kubwa tunakufanyia punguzo kubwa la bei.
Tupo Kangaye Round about Mwanza
Wasiliana nasi kwa simu no:
0766-362336
0789-426842
Fundi Khamis















Comments

Post a Comment