YOUR MOST WELCOME

YOUR MOST WELCOME

STENDI ZA VYOMBO ZA CHUMA

Hii ni kwa wajanja wote na wanaotaka kwenda na wakati.Tupo kuhakikisha kuifanya nyumba yako iwe ni yenye kuvutia kila mahali....Sasa tumeingia na jikoni kwako ili kupafanya panoge zaidi na mapishi yakolee utamu.Tunakutengenezea stands za kuwekea vyombo za kisasa zenye kurembesha jiko lako na vyombo kuwa mahala salama.Stands zinapatika kwa marembo tofauti tofauti yenye kuvutia.Stands zinadumu muda mrefu zikiwa katika ubora wake.Popote ulipo utatumiwa na tunatengeneza idadi yoyote na oda kubwa zinapokelewa.Unapotoa oda kubwa tunakufanyia punguzo kubwa la bei.
Tupo Kangaye Round about Mwanza
Wasiliana nasi kwa simu no:
0766-362336
0789-426842
Fundi Khamis
















NA ZINGINE KIBAO

Comments