YOUR MOST WELCOME

YOUR MOST WELCOME

STENDI ZA VIATU ZA CHUMA

Muonekano mpya wa chumba chako ni pale unapoamua kuwa wakisasa zaidi.Maboresho ni pale unapoamua kutumia vifaa vya kisasa kabisa kwa ajili ya kupendezesha unapoweka viatu vyako na kubaki kuwa mahali salama.Utumiapo vibebeo vya chuma vyenye muonekano mpya na wakisasa  kabisa basi utafanya eneo lako husika kuvutia kila mtazamaji.Tunatengeneza Standi za chuma kwa ajili ya kuwekea viatu na vikabaki salama pasi na kuvurugika kimpangilio na chumba kuwa safi.Tupo kukuhudumia kwa kukuundia standi kwa bei poa kabisa na mahali popote na kwa idadi uitakayo.Unapotoa oda kubwa tunakufanyia punguzo kubwa la bei.
Tupo Kangaye Round about Mwanza
Wasiliana nasi kwa simu no:
0766-362336
0789-426842
Fundi Khamis









Comments