YOUR MOST WELCOME

YOUR MOST WELCOME

SOFA ZA CHUMA

Kutana na mafundi waliobobea katika fani ya uundaji vifaa vya chuma.Kwa mahitaji ya sofa za kisasa kwaajili ya sebuleni,ofisini,hotelini nk tupo tayari kukuhudumia.Sofa zenye urembo na nakshi zinazovutia zinapatikana kwa bei poa kabisa.Zipo za ukubwa tofauti tofauti kulingana na mahitaji/matumizi yako.Tunawahudumia Wateja wa oda ndogo ndogo na oda kubwa walio popote Tanzania.Kazi zetu niya uhakika na tunakubalika karibu ujionee kazi zetu.Unapotoa oda kubwa tunakufanyia punguzo kubwa la bei.
Tupo Kangaye Round about Mwanza
Wasiliana nasi kwa simu no:
0766-362336
0789-426842
Fundi Khamis








Comments