YOUR MOST WELCOME

YOUR MOST WELCOME

MAGETI YA CHUMA

Hii ni kwa wajanja wote na wanaotaka kwenda na wakati.Tupo kuhakikisha kuifanya nyumba yako iwe ni yenye kuvutia kila mahali....Sasa tumeingia katika ujenzi wa nyumba yako ili kuifanya ipendeze zaidi na yenye kuvutia na ili iwe ya kisasa zaidi.Tunakutengenezea mageti ya chuma ya kisasa yenye kurembesha nyumba yako na mali zako kuwa mahala salama.Mageti yanapatikana kwa urembo tofauti tofauti yenye kuvutia.Mageti yanadumu muda mrefu yakiwa katika ubora wake.Popote ulipo utatumiwa na tunatengeneza idadi yoyote na oda kubwa zinapokelewa.Unapotoa oda kubwa tunakufanyia punguzo kubwa la bei.
Tupo Kangaye Round about Mwanza
Wasiliana nasi kwa simu no:
0766-362336
0789-426842


Fundi Khamis










Comments

  1. Please I am interested in your product send me your contact

    ReplyDelete

Post a Comment